Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Wakuu,
Jana nilijuwa na jamaa zangu na niliwauliza kuhusu chuo kizuri cha sheria kwakuwa kuna jamaa yangu anahitaji
Katika mazungumzo hayo kuna jamaa alitaja chuo kimoja cha kisabato ndipo jamaa yetu akasema kuwa vyuo vya kisabato havitoi degree hiyo kwasababu ya kidini,nilishangaa
Bahati mbaya pale hakukuwa na mtu mwenye majibu sahihi ya maswali yangu,naombeni mnijuze kama hili lina ukweli na kama ni kweli ni kwanini
Karibuni Ntuzu Ishmael Mkuu wa chuo charminglady Basluma Original Otorong'ong'o Nkwesa Makambo Lisa Valentine na wengine ...