Vyuo vya Kisabato na degree ya sheria

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Wakuu,

Jana nilijuwa na jamaa zangu na niliwauliza kuhusu chuo kizuri cha sheria kwakuwa kuna jamaa yangu anahitaji

Katika mazungumzo hayo kuna jamaa alitaja chuo kimoja cha kisabato ndipo jamaa yetu akasema kuwa vyuo vya kisabato havitoi degree hiyo kwasababu ya kidini,nilishangaa

Bahati mbaya pale hakukuwa na mtu mwenye majibu sahihi ya maswali yangu,naombeni mnijuze kama hili lina ukweli na kama ni kweli ni kwanini

Karibuni Ntuzu Ishmael Mkuu wa chuo charminglady Basluma Original Otorong'ong'o Nkwesa Makambo Lisa Valentine na wengine ...
 
Duh..Hii yaweza kuwa kweli eeh!
Check link hiyo naona hamna course yoyote ya sheria toka UOA..!
UoA Academics
 
Duh..Hii yaweza kuwa kweli eeh!
Check link hiyo naona hamna course yoyote ya sheria toka UOA..!
UoA Academics

Mkuu,jamaa alinihakikishia hakuna kwakuwa alisoma kwenye moja ya vyuo vyao

Nataka nijuw sababu ya hii kitu!
 
blogger ,Vipo ngoja nikikumbuka nitakutajia au unaweza ku google!

ha ha ha! Jf inachekesha sana siku hizi.

Mtu analeta uzi, afu anawapa wachangiaji assignment!
Funny.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,jamaa alinihakikishia hakuna kwakuwa alisoma kwenye moja ya vyuo vyao

Nataka nijuw sababu ya hii kitu!

Mwenyewe nimeshangaa sana. Sababu za kutokuwa nazo ni zipi? Wasabato tuna kazi kweli..!
 
ha ha ha! Jf inachekesha sana siku hizi.

Mtu analeta uzi, afu anawapa wachangiaji assignment!
Funny.
Usilie kiongozi..check hapo; http://www.uoa.ac.tz
 
Mkuu Eiyer unazungumzia vyuo vya kisabato vya Tz tu au dunia nzima?

Nisaidie kwanza Hilo....!
 
Last edited by a moderator:
Pale Arusha University hakuna degree ya sheria, ngojea nimuite Lawkeys maana yule si ni mwanasheria, aje atuambie zaidi... na ni kwanini alisomea sheria... halafu ngojea nijaribu kuchunguza zaidi, nilikuwa bado sija detect hicho kitu...
 
Last edited by a moderator:
sheriaa kwa wasabato ni amri kumi za Mungu zinapatikana kutoka 20:1-17
Ukizifuata hizo yaani haina haja na hayo masheria ya kibinadamu
 
Last edited by a moderator:
Pale Arusha University hakuna degree ya sheria, ngojea nimuite Lawkeys maana yule si ni mwanasheria, aje atuambie zaidi... na ni kwanini alisomea sheria... halafu ngojea nijaribu kuchunguza zaidi, nilikuwa bado sija detect hicho kitu...
Mkuu unataka uletewe katekism?

Mwishowe utaambiwa we Jesuits!
 
Last edited by a moderator:
Wasabato wanaamini mwisho wa dunia ulishatokea na wanasubiri kunyakuliwa tu!! sasa vyuo vya nini??!
Sasa mkuu hili linahusiana kweli na haya mambo?

Sasa kama wanaamini hivyo mbona wanapata kesi?

Wanapataje msaada wa kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…