Vyuo vya multmedia

Vyuo vya multmedia

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
433
jAMANI MIMI NI VIDEO PRODUCER. KAZI YANGU HII NI YA KUJIENDELEZA MWENYEWE. LAKINI NI PROFESSIONAL KWENYE AUDIO RECORDING. nI MZOEFU KWENYE LOGIC,SONAR NA ZAIDI CUBASE 5. KWENYE VIDEO NATUMIA ADOBE CS5 NA KWA GRAPHICS NATUMIA SANA PHOTOSHOP. KINACHONISUMBUA NI ADOBE AFTER EFFECT, CINEMA 4D NA COREL DRAW 3D. NIA YANGU NI KUJIENDELEZA KWA AJILI YA KUWA PROFFESSIONAL WA MATANGAZO YA BIASHARA. JE? KUNA MTU ANAFAHAMU NI CHUO GANI TANZANIA AMA EAST AFRICA KITAKACHO NIFAA?
TAFADHALI NAOMBA KUJULISHWA.
 
nenda Dar es Salaam Institute of Technology, wanatoa Diploma in Film and Multimedia
 
Back
Top Bottom