Vyuo vya NACTE vinafungwa lini?

Vyuo vya NACTE vinafungwa lini?

Vya Afya hawafungi, wanaenda field wakimaliza mitihani ya first semester wakirudi wanaanza second semester, wakimaliza Mwaka ndio watafunga Ile likizo ndefu.
 
Vyuo vya nacte siku hizi vinatofautiana ratiba kutokana na kozi zao. Ni vyuo vya kozi ipi unataka kujua?
 
Kwa hiyo mwanangu umemsubiria demu wako yule wa chuo umeona hawafungi ukahisi anakudanganya umeona upost humu. Tulia atakuja
 
CMT, LNT,MLT na PHAM Leo wamemaliza mitihani , kesho wanamalizia practical, kisha jumapili kila mtu anaweza kuondoka halazimishwi kukaa hostel. End.
 
Check hiyo
 
Attachments

Vya Afya hawafungi, wanaenda field wakimaliza mitihani ya first semester wakirudi wanaanza second semester, wakimaliza Mwaka ndio watafunga Ile likizo ndefu.
According to NACTVET calendar inasema kuwa itafunga after semester one
 
Back
Top Bottom