Vyuo vya private bhana !!

LOMP

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
215
Reaction score
21
mm ni miongoni mwa wale waliochaguliwa vyuo vya private lakini najuta kuchagua.yaani maisha ya huku kama vile ya seminari
 
Mi nlidhani utaongelea ukubwa wa ada kumbe ugumu wa maisha!!! We unadhani ni chuo kikuu kipi wakupikie kama nyumbani kwenu!!! Rudi kwenu kalime ulezi.
 
bora vyuo vya Private kuliko vya Serikali maana vina manyanyaso sana. vyuo vya Private ma lecturer wanakaguliwa na vipindi vinafuatiliwa na boss wao...................................................................................................
 
acha chuo kaa nyumbani umsaidie wazazi kazi zanyumbani ili uwe free usiishi maisha ya seminary,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…