Nina mdogo wangu amemaliza mwaka huu HGL na amepata div 3 ya piont 10 (BCB),anataka kusoma degree ya sheria (LLB).Naomba ushauri ni chuo gani ambacho ni kizuri na kitamfaa kutokana na hayo matokeo yake,vyuo ninavyovifahamu ni UDSM,UDOM,Mzumbe,Tumaini na RUCO
Asanteni