M Manaka Zeboy Member Joined Jun 25, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Jul 8, 2014 #1 Wakuu naombeni msada kwa anayefaham ju ya tulioachwa kuchaguliwa kwenda kusoma advanc ambapo 2mefaulu kwa kiwango cha daraja la tatu,wanatupeleka wapi? Naomba explanation ju ya hili...
Wakuu naombeni msada kwa anayefaham ju ya tulioachwa kuchaguliwa kwenda kusoma advanc ambapo 2mefaulu kwa kiwango cha daraja la tatu,wanatupeleka wapi? Naomba explanation ju ya hili...
Bzimana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2013 Posts 554 Reaction score 159 Jul 8, 2014 #2 unaomba explanation.! nani muhusika sasa!, nenda wizarani kawaulize.