Vyuo vya ualimu grade A!

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!
 
vyuo vya private vya grade A singida ttc, lake ttc ,st benard(vyote viko singida),capital(dodoma),kibamba(dar) na vingine mnaweza kuongezea
 
St. Aggrey - Mbeya. Ebonite - Dar. Montessori - Mtwara
 
ARUSHA TEACHERS college ada laki 9 kwa mwaka
 
mukidoma hiki kiko mwanza, Nyamanga cha Fpct kiko Bihamulo, montessori kawekamo Mwanza
 
kwan tofaut ya daraja la 3A na A pekeake ninini mpaka mmpeleke prvt na co vyuo vya serkal?
 
Poleni wadau mdogo wangu ana4 ya pts 26 Necta 2012! Anataka asomee ualimu grade A chuo Cha private. so naomben anayejua chuo chochote cha private bac aniambie!

On top of that, wizara ya elimu inatoa lini nafasi za kuomba kujiunga na vyuo hivi vya ualimu? naombeni kusaidiwa, na kama wizara haitoagi hizo nafasi, un apply kupitia wapi!? Natanguliza shukrani.
 
kingine ni cha Moravian mbeya sina hakika na jina lake
 
Soma fani zingine ualimu ajira hakuna kwa sasalabda kama unataka kujiajiri au ajira shule binafsi lakini serikalin kwa sasa hakuna ajira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…