kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Mar 11, 2015 #1 Habari wana JF naomba kufahamishwa walioomba vyuo vya ualimu majibu yanatoka lini? Na wanaosoma vyuo vya ualimu diploma masomo ya sayansi wanapata boom na kulipiwa ada?
Habari wana JF naomba kufahamishwa walioomba vyuo vya ualimu majibu yanatoka lini? Na wanaosoma vyuo vya ualimu diploma masomo ya sayansi wanapata boom na kulipiwa ada?