Kimsingi nijambo linalo shangaza Sana anyway kwakuwa wizara inaongozwa na maprofesa labda Kuna namna wameona inafaaa kuwa hivoMtu mwenye 1 ya 5 4m 6 akasomee ualimu wa awaliii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas Woiiiiih
Usiwasemee watu inawezekana wapo watakaopenda kusoma. Wewe wasiwasi wako ni nini, kama watakosekana watashusja vigezo. Na pia kumbuka mtaani walimu wa Arts wenye degree ni wengi sana ambao wanaweza pia kuajiriwa hshule za msingi piaMkuu hoja SI huruma hoja nikwamba nivigumu Kwa kijana mwenye div 1 or two kuja kuomba kusoma diploma ya ualimu wa msingi kwan vyuo vyote Sasa vya ualimu vinatoa diploma ya msingi ilihali kijana huyo huyo ana vigezo vya kujiunga vyuo vikuu, lakini tujiulize pia Nini kipo nyuma ya pazia hili??
Hi Tanzania ni ya ajabu sana mtu kusomea clinica medicine ngazi ya diploma sifa ni D4 au D3 kwa ufamasia hizo ni fani nyeti sanaa kwa afya za watanzania, ila kusomea ualimu wa awali awe na div 1 2au3 kipi ni muhimu zaid
Kwakuwa watoto wao hawasomi ualimuMtu mwenye 1 ya 5 4m 6 akasomee ualimu wa awaliii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas Woiiiiih
Kinachoanza kuliko chenzie ndiyo cha Muhimu 😃Hi Tanzania ni ya ajabu sana mtu kusomea clinica medicine ngazi ya diploma sifa ni D4 au D3 kwa ufamasia hizo ni fani nyeti sanaa kwa afya za watanzania, ila kusomea ualimu wa awali awe na div 1 2au3 kipi ni muhimu zaidi hapo.