Umeshapata hiyo orodha? Kama bado, jaribu web ya NACTE au jaribu kuwaona Mwanza Press Club huenda wakakusaidia. Wako Ghorofa ya Nne, Jengo la CCM lenye Supermarket ya Imalaseko na Benki ya Standard Chartered, Barabara ya Makongoro, Jirani na Kituo Kikuu cha Polisi cha Mwanza na Ofisi za Maji Safi na Maji Taka Mwanza.