We Dogo maku pambaaaaaafu
Alivocheki kwenye sim alikua kachaguliwa hiko chuo ama??
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Dogo nimetumia lugha kali nisamehe,hao matapeli achana nao.
Nilimchekia kwenye simu alikuwa amechaguliwa hicho chuo BAED.
Sio matapeli hata kwenye simu alikuwa amechaguliwa hapo tatizo langu ni mkopo maana sidhani kama majina yatakuwa yametolewa na loan board.
wale walioko jkt watakuwa wamerudi?
Demu wangu jamani nimemmiss!
Hicho ni chuo gan jamani mana my sisy kachaguliwa huo ni tawi la saut au ni kingine