Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, vuta subira kidogo kwa mwakani japo muda unazidi kusonga na maisha yanazidi kuwa magumu.Ila tambua bila Kuhonga au kujuana kupata nafasi itakua ngumu sana.
Pole, vuta subira kidogo kwa mwakani japo muda unazidi kusonga na maisha yanazidi kuwa magumu.Ila tambua bila Kuhonga au kujuana kupata nafasi itakua ngumu sana.
Mkuu, ndomana nmesema bila kuhonga au kufanyiwa mpango kwa kujuana itakua ngumu sana kupata nafasi ila cjasema huwezi kupata nafasi bila kuhonga...Me pia kuna watu wengi nnafahamiana nao wamepata nafasi kwa kuhonga/kujuana huku applicants wengine wenye criteria nzuri wakikosa nafasi kwa kutofanya mchongo.So, unapofanya mchongo unakua na nafasi kubwa ya kufanikiwa.Hamna mambo ya kuhonga bhana! Ucmkatishe tamaa mwenzako.Mbona dogo langu kachaguliwa na hakuhonga kitu chochote kile!Mcsikilize non-slogan za wa2!