Wa akina mama wote duniani... nikweli?


mmhh kwa kweli labda unaongelea watoto wa shule za sec..

kwa sisi tuliodanganywa mpaka hakuna..
sasa hivi hatuangaali mwanaume mara mbili
ndoo maana tuko single mpaka leo..a kazi zetu
ku keep busy..

kwa sababu unaona wanaume wote waongo..
 

acha kumdanganya mwenzako
neno kutongoza linamaana ya KUSHAWISHI..
KUSHAWISH KOKOTE KULE HAIPO KWENYE MAPENZ TU...
mfano;MGOMBEA ubunge ANAWATONGOZA WAPIGA KURA ILI WAMPE/WAMCHAGUE ...upo kaka?
mtoto anamtongoza baba yake ili ampe pesa ya mchango wa picnic na wenzake shule...
byeeeeeee:car:
 
mmhh kwa kweli labda unaongelea watoto wa shule za sec..

kwa sisi tuliodanganywa mpaka hakuna..
sasa hivi hatuangaali mwanaume mara mbili
ndoo maana tuko single mpaka leo..a kazi zetu
ku keep busy..

kwa sababu unaona wanaume wote waongo..

kwan unajiingiza kwwa miguu yote miwil kwa kiumbe mwanaume?
mguu mmoja ndan mmoja nje..na nauli yako kbndon any tme pakiwaka we fasta :car:...

2'
kuwa makin n take tyme kumsoma mtu itasaidia kupunguza posibilities za kudanganywa ..smaanish ukimchunguza sna ndo hautadanganywa bt at list inasaidia..lakin wale wa puuu puuuh ndani ya wiki sjui mwez mmoja umeshafanya MAGAZIJUTO nae ahh apo kusepa,kudanganywa nje nje...
 

Haudanganywi ila unapewa mikakati na wewe unaingia king jamaa anakamua ukija kugundua kumekucha!!
 

Maneno yenye hekima ndiyo unayosema ya uwongo au? lazima aridhike kama kaambiwa maneno yenye hekima bwana!!!!
 
Kutongozwa ndio nini?

ukiongelea NGONO, ni kitendo cha mwanaume kumwomba mwanamke uchi kwa hiari ampe, ili aingize
mhogo kwenye shimo lake, au ukimkubalia atakurukisha ukuta maelewano yenu, ww Husniyo una vituko ww
 
Hizo ni nguvu asilia. Mwisho wa siku wanawake wanatakiwa, na wanataka wamegwe! Kutongoza is just the means to justify the end.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…