Wa azania tuonane

Joined
May 31, 2013
Posts
9
Reaction score
0
tujuane!, 29 july tunaingia rasmi mjengoni.kuna hostel pande zle jaman?,kama hamna vp vyumba vyz kupanga?
 
Duh! we utakuwa umeathiriwa na shule za kata sio bure.....VIPI UNATOKEA MKOA GANI DOGO?
 
madogo kuna hostel za zanaki pale ndan zsije zkawachanganya.friday azajangwa mkasali sio usharo.afu tabia ya kushnda kwa mudi na mbuga wakati madam ringia anatitirika biology itawacost.mnaotoka mikoan komaeni maisha ni tofauti hapo.
 
wale wa pcb ukuta wa muhimbili n mfupi lakn kufka muhmbili n pa refu.we uko aza,usishangae mwenzako wa mtwara anafka muhas afu we unashndwa.MASOMO MEMA WADOGO ZANGU.
 
Na mkifika kule ni kitabu sio kushangaa jiji...na jf muiache hapa hapa...alevel mambo mengi mda mchache kazi kwenu kushinda jf au kitabu
 
Dogo kwa azania wanaokaa bweni ni wale wa ECA Kipindi hicho kwa sasa sina uhakika kama kuna mabadiliko,pia usije ukaiga tabia ya kupiga chabo Zanaki utafel,ni shule nzuri ukikomaa lazima utoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…