Wa dada jamani Hivi vitu vinatokea network ina simama!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
uta Hivi vitu vikitoke mimi huwa netwrk isimama kwanza!!
 
Naona wewe unahitaji kanselingi kwa nini tusikutane mahali nikakukanseli??unaweza kuwa jasiri zaidi ya hapo!
 
Mh!tobaaa..................imekaa vibaya!tutakwisha!!
 
kushoto kwa huyo dada anaonekana MALARIA SUGU akifadhaika
 
uta Hivi vitu vikitoke mimi huwa netwrk isimama kwanza!!

Kaka Kiiza Mambo gani sasa hayo? agh! yaani FULL KUMBINULIA denti mwenzie! Ona sasa kampotezea manetiweki, jamaa hajui hata kwamba kitabu chake kiko chini
 
Hapo lazima 'akarushwe mtu hewani'....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…