....thubuuuuutu!,wewe ni wa mkoa gani?
Ha haaa.. Wanatamani kuwa soft kama wake zao..Jiji wanaume utafikiri wanawake wanavyotengeneza sura zao! nywele za miguuni eti wananyoa! wengine eti maji ya kunywa yanawafanya wawe weupe na weupe wenyewe ni baadhi ya maeneo mh!! acha nikae zangu Tarime tu bwanaaaa!!
Dsm tunaishi kwa hesabu sana kila kitu kinahitaji pesa kasoro pumzi tuWa daslamu mnajidanganya...Msifikiri kwamba nyie mnamaisha mazuri kuliko watu wengine wa pembezoni.. Nyie mnajifariji na stalehe.. Pasipo kujua kwamba mikoani kuna stalehe zaidi ata ya hizo za Dalesalama..
Huku mikoani watu wanapiga kazi.. Wanalamba ngawira.. Wanawekeza then kinachobaki kidogo wanafanyia starehe tena kwa umakini..
Nyie pesa zenu zote mnafanyia stalehe na kuhonga mademu wengine wanawekeza kwenye vipodozi na saluni na nguo. Punguzeni hayo mambo...
bora umewambia kweli,mjini kila kitu pesaDsm tunaishi kwa hesabu sana kila kitu kinahitaji pesa kasoro pumzi tu
Naona umeamua kuongea na wakulima. Hebu waambie waongeze kilimo cha mihogo watoto wa mjini wasife njaa.Dsm tunaishi kwa hesabu sana kila kitu kinahitaji pesa kasoro pumzi tu
Mkuu sometime hawa wanuka midomo tuwe tunawachunia wakianzisha mada zao za kijingajinga,wanaisema dar wakati wakipata nauli akili zao zote waje town washangaeAcha uropoke mkulima, ni halali yako. Msimu wa kuuza mavuno umeshawadia.