Wa Houthi wa Yemen wamemfanya Chris Lukosi aongee kwa unyonge

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Ukimsikia Mzee wa Dungu Jeshi akiongea kwa unyonge kwenye hii video kweli hali ni mbaya red sea.

Uchumi wa duniani ulishaanza kuimarika baada ya covid na vita ya Ukraine.

Hamas akaharibu tena sasa Israel naye anazidisha.

Wa Houthi wamesema Israel akisitisha kuishambulia Gaza naye watasitisha harakati zake za maharamia red sea.

Haya siyo mambo ya kushabikia kabisa. Hivi vita impact yake inazidi kuwa kubwa bila cease fire.

Video hapo chini jamaa hata weraaa weraaa hamna.


Alwaz incharge Proved
 
Sawa.
 
Hii vita ikiendelea dunia nzima tutapata tatizo la kiuchumi maana tunategemeana bidhaa na raw materials lazima zitoke eneo moja kwenda jingine
 
Duuh hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…