Wa Kenya nisaidieni katika hili lakutuma pesa Tanzania kutoka Safaricom Kenya

Source07

Senior Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
196
Reaction score
353
Assalam

Kama kichwa Cha habari kinavyosema nahitaji msaada wenu kwenye kuweza kutuma pesa kupitia Mpesa Safaricom kwenda Mpesa Vodacom Tanzania maana kwenye menu hiyo service haipo hivyo kumfanya sender(yupo Arabuni lakin anatumia Safaricom)kushindwa kukamilisha transaction hivyo msaada wenu huamnafanyaje ili hili liwezekane..!

Ahsante
 
  1. Go to M-PESA and select Lipa Na M-PESA.
  2. Select Pay Bill and enter business number 255255.
  3. Under account number, enter the Tanzania recipient's mobile number in the format 2557XXXXXXXX.
  4. Enter amount you wish to send in Ksh.
  5. Enter your M-PESA PIN and confirm the transaction.
 
3. *+2557XXXXXXXX
 
Correct!!!
 

Ndio yenyewe hii, nimeitumia sana na haijawahi kunipa tabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…