Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Spendezwi na tabia ya kina dada zetu kila. wanapoona kamzimia mvulana na wanadet mkate wanakula. Lakini wakiona hakuna dalili za ndoa WANAJISHIKISHA MIMBA hivi nikwann. Hasa wanapoona kijana ana mwelekeo flani wa kimaisha (mzuri) Ni kwann hii hutokea?
Kuna wadada wengine wanaona umri umesogea sana..afanyeje? Analazimisha ndoa ili atlist aweke record kuwa aliwahi kuolewa..
Binti anakuwa king'ang'anizi ile mbaya ndg zanguni. Na unamwambia kuwa hautegemei kuoa leo wala kesho. Anakujibu mi ntakusubiri mpaka ukiwa tayari. Akiona taaa nyekundu inawaka bac anakushawishi mara tarati mkate huo unaanzwa kumegwa kwa kuliwa. wakati huo zana hata unakumbuka si unajua tena ile kitu. nani asiyejua kati yetu. Au mnaongea ushabiki anayepinga abishe tuone kama hajawa JIWE LA CHUMVI