Wa Kitambo

Kirchhoff

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,735
Reaction score
8,541
Mtu Makini Kwenye Mahali Makini. Nipo mda mrefu Sana na ninafurahia kuwa humu ndani nanyi nyote. Mbarikiwe Sana na Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Amina
 
Wanajamvi nashukuru Sana kwa ukaribisho huo adhimu. Upendo tele kwenu.
 
Eti wanajamvi Kama thread Ina alama ya kufuli maana yake nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…