Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 6,406 Reaction score 12,736 Aug 27, 2025 #1 Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea. Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani. Na ndio maana alisema upinzani utatoka CCM maana nje ya hapo hakuona kabisa kwa mifumo ya nchi ilivyo.
Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea. Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani. Na ndio maana alisema upinzani utatoka CCM maana nje ya hapo hakuona kabisa kwa mifumo ya nchi ilivyo.
N ndolelejiUduhe JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 4,381 Reaction score 4,588 Aug 27, 2025 #2 Mi mi said: Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea. Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani. Na ndio maana alisema upinzani utatoka CCM maana nje ya hapo hakuona kabisa kwa mifumo ya nchi ilivyo. Click to expand... Iko vile ! Na ndivyo itakavyokuwa ! Lini itaweza kutokea ? Hiyo haijulikani lakini kutokea hilo ni imminent 😳🤷🏿♂️ !
Mi mi said: Kweli wakuitoa CCM madarakani ni CCM wenyewe wakitofautiana kinyume na hapo sioni hilo kutokea. Nyerere alijua fika jitu alilo tengeneza ni jitu la namna gani. Na ndio maana alisema upinzani utatoka CCM maana nje ya hapo hakuona kabisa kwa mifumo ya nchi ilivyo. Click to expand... Iko vile ! Na ndivyo itakavyokuwa ! Lini itaweza kutokea ? Hiyo haijulikani lakini kutokea hilo ni imminent 😳🤷🏿♂️ !
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 27, 2025 #3 Sio CCM Bali wananchi wenyewe wakiamua.
Mafunzo ya Udereva JF-Expert Member Joined Aug 27, 2025 Posts 620 Reaction score 925 Aug 27, 2025 #4 Kuna vyama Kama NSSR , Chadema na CUF na ACT n.k ni vyama ambavyo Mimi huwa naviita watoto wa ccm. Vinafanya siasa za kijinga na matukio na vimeumiza Taifa kwa kuingiza Vijana katika siasa fake.
Kuna vyama Kama NSSR , Chadema na CUF na ACT n.k ni vyama ambavyo Mimi huwa naviita watoto wa ccm. Vinafanya siasa za kijinga na matukio na vimeumiza Taifa kwa kuingiza Vijana katika siasa fake.
Mi mi JF-Expert Member Joined Jul 14, 2024 Posts 6,406 Reaction score 12,736 Aug 27, 2025 Thread starter #5 econonist said: Sio CCM Bali wananchi wenyewe wakiamua. Click to expand... Hawawezi amua