Wa kulaumiwa ni Serikali mitandao ya simu inaonewa tu

Wa kulaumiwa ni Serikali mitandao ya simu inaonewa tu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Si kwa Tanzania tu bali ni dunia nzima, serikali imekuwa ikitumia mamlaka yao kufanya uovu kwa watu walio kinyume nao, wanasiasa, wanahabari, n.k.

Hakuna kampuni ya itaweza zuia agizo la serikali kwakuwa hatuna katiba imara ya kufanya hivyo, Tigo na Voda au hata wengine, wanaangushiwa tu jumba bovu, lakini ukweli ni kuwa serikali ndio waonevu.

Mtaona hata CEO wa Telegram, alikamatwa kwa kutotoa ushirikiano kwa serikali, baada ya pale walibadilisha mashart telegram kua mtumiaji akifanya uhalifu, wanaweza kutoa taarifa zake kwa serikali.

Nadhan kibaya ni hizo bragging za hao wanaosema kuwa wao ndio walitoa location ya Lissu, haikufaa kuwa fun thing or something to be proud of.

Ila yote kwa yote Lawama zote kwa Serikali.

Pia soma: Tundu Lissu kuiburuza Tigo mahakamani
 
Back
Top Bottom