Kuna uhusiano gani kati ya hili jukwaa la kazi na mvua? Au unataka kuzungumzia vibarua vinavyotokea kukiwa na mafuriko? kama vip wafuate wenzako kwenye majukwaa ya siasa n.k
Nafikiri mtoa mada alitaka kuwajulisha wale jamaa zangu wa mtaani wasubiri mvua inyeshe na maji yaje barabarani halafu waanze kazi ya kuvusha watu..... nafikiri that was the logic behind