MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Waongozaji 90 wa makarani wa #Sensa2022 wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamesusia zoezi la #Sensa ya watu na makazi linaloendelea kote nchini kwa madai ya kutolipwa fedha zao.
Chanzo: azamtvtz
Kuweni wazalendo kwa kujitolea tu hata bure, taifa litawakumbuka na hata Mwenyezi Mungu nae atawabariki. Mtaandikwa katika vitabu vya historia kwa huu uthubutu na ushujaa wenu na taifa litawakumbuka.
Siyo lazima mlipwe ila tunawalipa na kuwapa kipaumbele wa Dar Es Salaam, ambako ndiyo Tanzania yenyewe na ndiko waliko watu wabishi, wajanja na wanaojua vyema haki zao tofauti nanyi mlioko huko mashinani(vijijini).