MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wameambiwa hawatalipwa? Wakae wakijua kwamba sisi kama serikali tuna majukumu kibao tu ya kufanya kwa Watanzania.Wanavyoshinda wanazurula watakula mawe?Uzalendo gani huo wakati watoto hawana chakula nyumbani?Watalisha familia zao vijiko vya uzalendo?😂😂😂😂
Walilazimishwa waiombe hiyo Kazi?Wanavyoshinda wanazurula watakula mawe?Uzalendo gani huo wakati watoto hawana chakula nyumbani?Watalisha familia zao vijiko vya uzalendo?😂😂😂😂
Tuelewane.Hawa watu wanafanya kazi.Vilevile ukumbuke wana majukumu na mahitaji binafsi na au kwa familia zao.Ukiwaambia utawalipa tu,lini?Ulipoandaa kazi hukujua kwamba wanapaswa kulipwa?Na tena kwa wakati?Kuongea ni rahisi sana.Kiatu humbana aliyevaa,mind you!Wameambiwa hawatalipwa? Wakae wakijua kwamba sisi kama serikali tuna majukumu kibao tu ya kufanya kwa Watanzania.
Hebu watambue tu kwamba kama hawajalipwa, muda mwafaka ukifika watapewa stahiki zao zote. Wakae kama wamekopeshwa fulani hivi na serikali ya JMT.
Au nasema uongo ndugu zangu?
mama D
Unatafuta tu Matusi kutoka Kwao na wana Hasira kweli kweli Ndugu.Wameambiwa hawatalipwa? Wakae wakijua kwamba sisi kama serikali tuna majukumu kibao tu ya kufanya kwa Watanzania.
Hebu watambue tu kwamba kama hawajalipwa, muda mwafaka ukifika watapewa stahiki zao zote. Wakae kama wamekopeshwa fulani hivi na serikali ya JMT.
Au nasema uongo ndugu zangu?
mama D
Wakilipwa Wakatambike.Tuelewane.Hawa watu wanafanya kazi.Vilevile ukumbuke wana majukumu na mahitaji binafsi na au kwa familia zao.Ukiwaambia utawalipa tu,lini?Ulipoandaa kazi hukujua kwamba wanapaswa kulipwa?Na tena kwa wakati?Kuongea ni rahisi sana.Kiatu humbana aliyevaa,mind you!
Basi angeifanya Albina Chuwa na ofisi yake.Walilazimishwa waiombe hiyo Kazi?
Hawatambiki ila ni aibu.Kila kitu usanii tu.Walipwe!Wakilipwa Wakatambike.
Walijua Mazuzu mpo wengi na mtaomba tu hiyo Kazi na sasa mmeshamaliza Kazi yao na mtalipwa mwaka 2037.Basi angeifanya Albina Chuwa na ofisi yake.
[emoji3][emoji3][emoji3]Wanavyoshinda wanazurula watakula mawe?Uzalendo gani huo wakati watoto hawana chakula nyumbani?Watalisha familia zao vijiko vya uzalendo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kubaki na Kifaa ambacho kina Nembo ya Bibi na Bwana ( yaani Nyara ya Serikali ) ni HATARI sana tena Wahusika wasije Kuthubutu kubaki navyo bali wakimaliza hili Zoezi wanatakiwa Kuzirudisha walikokabidhiwa kwani zina Matumizi mengine nje ya Sensa kwa Siku za baadae. Wasije kusema kuwa Sikuwaambia.Faida ni kubali na kishikwambi