benghlasis
Member
- Nov 29, 2016
- 49
- 54
Hii kauli nzito inabidi wa mikoani tuifikirie vizuriNyie pasueni tu necta lakini mtaishia kuwa maafisa nyuki tu!!
Wanamaneno ya shobo hao, wanawaita wa mikoani Dar transit, eti Dar unaiona ukiomba visa na kusubiri ndege utoke.Halafu wakimaliza mitihani wanaenda after school bash, huku wenzao wa mikoani wana enda twisheni
Watoto wa dar sjui wamepatwa na nn
HahahaWanamaneno ya shobo hao, wanawaita wa mikoani Dar transit, eti Dar unaiona ukiomba visa na kusubiri ndege utoke.
sasa wakishinda wote nani atacheza vigodoro/singeli ??
Hahaha
Hao wataendelea kwenda msanga kucheza singeli na kicheko
Wenzao wakiwa wako Azania, jangwani etc wote wana kiwa wako dar tu sasa
Sijawahi ona watoto vilaza km hawa wa dar, wizara ya elimu makao makuu yapo dar, maktaba ya taifa ipo dar, rada ya taifa ipo dar, simba na yanga zipo dar, majarida ya nyambari nyangwine yanachapishwa dar, oxford printing press ipo dar, n.k lakini bado wametoa shule *sita bora kwa ubovu*. Isitoshe hata wimbo wa darasa producer anaishi dar bado wanafeli.[emoji23][emoji119][emoji119]
Mkuu legelege ya wanaume wa dar ndo imezaa watoto legelegeDar inahitaji kuombewa sana,wanaume wao legelege,sasa mpaka wavulana wao wamekuwa legelege?Watoto miaka 4 yupo kwenye school bus alafu anataga?
Mtoto anapelekwa shule na V8 ,baba yupo wizarani,akitoka shule mummy anampitisha Merry Brown kula ice cream na chips,na kupiga selfie za kuweka insta alafu bado anapata Zero?Naomba Wizara ihamishiwe Kilimanjaro kwenye Elimu Dar waachiwe 'after school bash'