Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Huyo ndo bujibujiSasa we umesema wa dar na mkoa,kwenye maelezo yako umesema mjini na kijijini,inamaana dar ni mjini halafu mikoani ni kijijini?
nashukuru kwa kuelewaHuyo ndo bujibuji
Mkuu wala usipate tabu, nenda mkuranga ukajipatie jiko lako mapema!Wengine wanaenda kuoa vijini, wengine hawataki wa vijijini wanataka wa hapahapa mjini, wanasema wakioa wa vijijini wakifika mjini wanazibuka na kuyalimbukia maisha.Jamani kati ya wa bush na wa tauni yupi anafaa kuwa mke wako?
Hahahahaa! Hapo Afro unamaanisha wa CHALINZE? do u mean wakwere?Dahhhh wa kati kati ya mji na kijiji...
Sasa we umesema wa dar na mkoa,kwenye maelezo yako umesema mjini na kijijini,inamaana dar ni mjini halafu mikoani ni kijijini?
Wewe HUAMINIKI, kuridhishwa gani huko unakokusema wkt unalaumu wanaume wa Jamvini? teh! Bora nioe kwa wamakonde!jamani mwanamke ni mwanamke awe wa porini, shambani, mjini au hata ulaya, kama humridhishi kitandani jua kwamba atamegwa hata na houseboy au dereva.Wanawake wanahitaji kuridhishwa kitandani, mpe heshima yake, mlishe vizuri na umpambe hamna ambaye atakumegea, labda ukianza kum'boa kwa kumuomba tigo
Hapo boldWewe HUAMINIKI, kuridhishwa gani huko unakokusema wkt unalaumu wanaume wa Jamvini? teh! Bora nioe kwa wamakonde!
sema tu una mihamu tu ya viuno vya KIMAKONDEWewe HUAMINIKI, kuridhishwa gani huko unakokusema wkt unalaumu wanaume wa Jamvini? teh! Bora nioe kwa wamakonde!