A axel fowly Senior Member Joined Aug 14, 2012 Posts 137 Reaction score 49 Aug 24, 2012 #1 Kama walivyofanya wadau wa udom hapa jamvini..na wale basi wanaoijua muhas vizuri au waliokwishasoma hapo tupeni wadogo zenu ushauri wa bure jamani..
Kama walivyofanya wadau wa udom hapa jamvini..na wale basi wanaoijua muhas vizuri au waliokwishasoma hapo tupeni wadogo zenu ushauri wa bure jamani..