Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hiyo tuzo ni ya mafikizolo bila kupepesa macho....
Hata mi naona ni yake hyo Mafikizolo na jisongi lake kona
Hivi mafikizolo ni mtu au kundi?
Thubuthuuuuu. .lkchange ltakuja ktuko zaid ya hapo
Hahahaaaaa
Hata mi naona ni yake hyo Mafikizolo na jisongi lake kona
We ndio urudi shule maana hata kuandika hujui
Taharifa ni Taarifa
Hahahahaaaa inashangaza sana hum ndan wa2 na mibichwa yao hawajui kabisa matumiz ya heruf????????!!!!!!!!!