Sasa hivi JF inabidi uwe bingwa wa matusi kwa mada nyingi . Mkristo mini na matusi ni Mashariki na MagharibiAl-Watan na Kiranga ni watu tofauti kabisa, mungekuwapo enzi hizo waki-battle jukwaa zima linatulia kimya!! Nimemisi Beto la manguli hawa! Pamoja na Stefano Mtangoo Kiranga alikuwa ni jeshi la mtu mmoja! Miss him guy
Nilikuwa tu nawajulisha vijana kuhusu siku hizo!! Hiyo ilikuwa ni ligi ya mabingwa!!Sasa hivi JF inabidi uwe bingwa wa matusi kwa mada nyingi . Mkristo mini na matusi ni Mashariki na Magharibi
Nipe Link ya hizo nyuzi nisome namm...Sasa hivi JF inabidi uwe bingwa wa matusi kwa mada nyingi . Mkristo mini na matusi ni Mashariki na Magharibi
Mungu Yupo: Majibu kwa WasioaminiNipe Link ya hizo nyuzi nisome namm...