Wa Tanzania nauliza Swali Je haya Matunda yapo hapo kwetu yote hayo?

Wa Tanzania nauliza Swali Je haya Matunda yapo hapo kwetu yote hayo?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Na Kama yote hayo Matunda yapo hapo kwetu Tanzania je ni kwanini hatuyatumii kama chakula chetu cha kila siku? nwaombeni mnipe jibu?


Matunda

Fyulisi kama mfano wa tunda:
katikati iko kokwa yenye mbegu;
sehemu nene la nyama ya tunda ambayo ni sehemu ya kuliwa
ganda la nje kabisa linafunika tunda lote kama ngozi.



Sahani ya matunda


Matunda ni sehemu ya mimea kama miti au vichaka vyenye mbegu ndani yake.
Kwa lugha ya biolojia ni ovari ya ua iliyoiva na kuwa na mbegu ndani yake.
Kwa lugha ya kila siku ni zaidi sehemu hiyohiyo kama ina pande zinazoliwa.

Ua la mmea kama imeendelea kukuza mbegu hufunika mbegu mwenyewe kwa ganda la kuukinga. Ganda hili mara nyingi lina sehemu ya nyama ya tunda. Kama sehemu hii ina lishe kwa mwanadamu na ladha ya kupendeza basi ni tunda la kuliwa.
Matunda mengi yana maji ndani yake pamoja na sukari asilia. Asilimia kubwa ya tunda ni nyuzi ya kitembwe. Ina kiasi kikubwa cha vitamini na madini kama chuma. Kwa kawaida matunda hayana proteini na mafuta mengi isipokuwa matunda ya pekee.
 
Sie mpaka tuambiwe na dokta au tukiumwa anaetutembelea ndio atuletee. Duhh.
 
Hayo Machungwa kwetu sisi kama ni kituo basi ni cha Polisi au kama ni mahali pa kuogopewa basi patakuwa ni Makaburini mie huwa najiuliza ni kwanini kila kitu eti tuambie na Ma daktari ule chakula hichi ule tunda hili je hii imekuwa ndio tabia yetu Wa Tanzania tutamka lini jamani?
 
Haya Mkuu Faiza foxy nakuachia ukumbi uendeleze uwape faida watakao changia hii Mada yangu mimi natoka kidogo nakwenda lala usiku mwema nitaingia usiku nakutakia mazungumzo mema kwa heri......
 
Back
Top Bottom