Ghwakukajha
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 245
- 102
Ile siku ya kuwapinga Wakenya kuwa Obama si wakwao bali ni m-Tz imefika. Hapa tupo wizara ya mambo ya ndani tayari kwa maandamano. Tatizo ni kwamba kila mkoa unadai Obama ni wao wachaga wanasema yule ni Obamael Massawe. Wasambaa ni sheobama. Wahaya nao ni Rutaobama.wamasai wanasema ni Olayobama. Hadi Wanyakyusa wanasema ni Mwaoboma malafyale wa MBEYA....