Wa-tz bwana!!

Ghwakukajha

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2008
Posts
245
Reaction score
102
Ile siku ya kuwapinga Wakenya kuwa Obama si wakwao bali ni m-Tz imefika. Hapa tupo wizara ya mambo ya ndani tayari kwa maandamano. Tatizo ni kwamba kila mkoa unadai Obama ni wao wachaga wanasema yule ni Obamael Massawe. Wasambaa ni sheobama. Wahaya nao ni Rutaobama.wamasai wanasema ni Olayobama. Hadi Wanyakyusa wanasema ni Mwaoboma malafyale wa MBEYA....
 
 
 
Hahhahah kazi kweli kweli....mbona osama hatukumgombea??tutazipiga kumgombea huyu bwana hahha dunia itatushangaa sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…