asante sana ndugu KilemiPole sana ndugu!
Ila toka 2006 serekali ilishapiga marufuku wafanyakazi wakigeni wasio na vibali kufanya kazi nchini, hasa hao waalimu toka kenya!!
Kwa vyovyote huyo siyo mwalimu, hata huko kwao kenya hafai. Isaidie serikali kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama baada ya kubaini uhalali wa kufanya kazi hapo St Mary.
Smatta ukishindwa kujua wingi wa neno mama, itakubidi utafute darasa
Pole sana ndugu!
Ila toka 2006 serekali ilishapiga marufuku wafanyakazi wakigeni wasio na vibali kufanya kazi nchini, hasa hao waalimu toka kenya!!
Kwa vyovyote huyo siyo mwalimu, hata huko kwao kenya hafai. Isaidie serikali kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama baada ya kubaini uhalali wa kufanya kazi hapo St Mary.
Mkuu usitegemee chochote hapo, mwenye shule "kingunge", wewe unafikiri kwa nini alitafuta nafasi ya kisiasa? Teh teh!
Ila mkuu wa shule hiyo naye kilaza,ilibidi azuie hii move kabla haijawekwa kwenye ratiba, automatically mbongo akisikia mwanaye anafundishwa kiswahili na Mkenya lazima atakuwana wasiwasi. Sijui kama unafahamu kuwa Idara ya Kiswahili UON wako far much advanced kwenye Research za kiswahili kuliko TATAKI.
Haya ndo matatizo ya kukimbilia hizi shule za engilish medium, hawana lolote hawa, wanachojali sana ni kukudai pesa haraka sana na ukichelewesha hawana simile na kumrudisha mtoto nyumbani,Fasta Mwamishe mtoto. Shule zipo nyingi. Vipi maeneo ya kwenu hakuna shule hata ya kata? Mpeleke huko akafundishwe kiswahili fasaha! Si lazima mtoto asome St. Mtakatifu school jamani! LOL!
Jamani ST. Marry kumeoza siku nyingi. Nenda uone madarasa yalivyobaki tupu shule zote. hakuna walimu wa kitanzania pale wanakimbia kwa kuogopa dhuruma. Wanaajiriwa waganda na wakenya wasiokuwa na vibali, pia sifa ya ualimu. Walimu hupewa vyumba vidogo kuishi.
St. marrys ni balaa tupu.