KIJAMBO Member Joined Sep 3, 2012 Posts 30 Reaction score 5 Oct 3, 2012 #1 Samahani lakini, eti coarse ya bachelor of commerce in international business ina field mwaka wa kwanza??????/
Samahani lakini, eti coarse ya bachelor of commerce in international business ina field mwaka wa kwanza??????/
A Amani kwa wote Member Joined Sep 22, 2012 Posts 49 Reaction score 10 Oct 3, 2012 #2 wanafunzi wote wanaosoma course za bcom pale udom wanaenda field mwaka wa pili yaani inshort kwa wanaosoma colege of humanity and social science udom field yao ni mwaka wa pili
wanafunzi wote wanaosoma course za bcom pale udom wanaenda field mwaka wa pili yaani inshort kwa wanaosoma colege of humanity and social science udom field yao ni mwaka wa pili