Wa Ukraine wafanya usafi kwenye miji yao baada ya Warusi kuondoka

Ingekuwa hapa bongo, wangetangaza tenda. Na mtu angeshinda tenda kimchongo na hela angezila zote na usafi asingefanya. Na cag angekagua na kutoa hati ya mashaka. Halafu maisha yangeendelea kama kawa.




Tunakumbushana tu, Mtanzania ni Mtanzania tu. Uaminifu ni 0.
 
Ungiangali hizo picha halafu ukasoma na ile sredi ya "picha na video za vikosi vya yukraini" sijui nini huko, unaona jamaa alikuwa anatulisha matango pori kipindi hiki cha Kwaresma na Ramadhan.
 
Akili zako ndogo sana
 
Warusi kuondoka kwenda wapi wakati vipigo bado vinaendelea
 
Unaumwaa kwelii wewe

Eti mtu ajitwalie sehemu ya nchi yako afu umwache tuuu

Weee inaonekana mtu anawaza kukuchukulia mkeo ukatulia tuu
Ukabaki kesema Mke wangu mzuri sema tu amekosa mume🦞🦐🦀🐌
Wananchi wa Ukraine hongera kwao, sema rais ndio wamekosa.
 
Unaumwaa kwelii wewe

Eti mtu ajitwalie sehemu ya nchi yako afu umwache tuuu

Weee inaonekana mtu anawaza kukuchukulia mkeo ukatulia tuu
Ukabaki kesema Mke wangu mzuri sema tu amekosa mume🦞🦐🦀🐌
Shida ilikuwa kujiunga NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…