Wa ukweli anapokutanishwa na kazi ya nje.......

Mh best huyo mtu sio wewe kweli, afu unatuzuga rafkiako. Kama wewe acha kuchanganya mambo, kwani mwisho wasiku hutajua alie serious na wewe ni nani. Matokeo yake utaangukia pua.
 
sema tu ukweli hayo yamekutokea wewe! usitufiche wala nini.................................!
 
Mh best huyo mtu sio wewe kweli, afu unatuzuga rafkiako. Kama wewe acha kuchanganya mambo, kwani mwisho wasiku hutajua alie serious na wewe ni nani. Matokeo yake utaangukia pua.
Mamushka ingekuwa mie nigejianika tu,yangu niliiposti juzi yamenifika ila sio ya hivi mkuu, asante ujumbe umefika.
 
Mkuu kugharamia sio ishu, inshu ni unamfikisha?
though kwa baadhi ya wadada unaweza ukatoa kila kitu na ufanisi A++ but still akapeleka nje, wanakera hawa sometimes
 
sasa hapo nani kimeo?bf au gf?alikutwa na mzigo wa wizi ndio mwizi!!!malaya tu huyo,amelikuroga na alinywe hana msaada!!af nampenda wanaume sisi wa siku hizi,hatupigani tena ndio wanakuwa marafiki wakubwa wakishakutema
 
huu ni mcharuko tena wa kizaramo......!
 
sasa hapo nani kimeo?bf au gf?alikutwa na mzigo wa wizi ndio mwizi!!!malaya tu huyo,amelikuroga na alinywe hana msaada!!af nampenda wanaume sisi wa siku hizi,hatupigani tena ndio wanakuwa marafiki wakubwa wakishakutema
Hapa kimeo ni gf coz yeye ndio aliwachanganya,asante kwa ushauri.
 
Bishanga ndio yashamtokea tena,na amepata fundisho afanyeje sasa?

Canta,to be honest,huyo so called rafiki yako
sounds to me like a two bit harlot.I know her type nshakutana nao sana.Kusema kweli wala hafai kuwa rafiki yako achilia mbali kuwa na sifa za kuwa mke mwema.Mwache aendelee kuogelea kwenye beseni la mafuta ya moto,msiba wa kujitakia huo.
 
Mkuu kugharamia sio ishu, inshu ni unamfikisha?
though kwa baadhi ya wadada unaweza ukatoa kila kitu na ufanisi A++ but still akapeleka nje, wanakera hawa sometimes

f....ck her,nimfikishe nimekuwa treni au airbus?aende zake huko,kafanya two timing imekula kwake,tena akome kabisa.
 
wewe na rafiki yako wote mcharuko...
na umeona kabisa hili ni jambo la kuja kuomba ushauri??????

bora umemjibu vizuri.....nilitaka kujibu hivi hivi ila in a more rude way...
Kuna wa2 sometimez wana2fanya 2take kugombana na ma keyboard ze2
 
Hapo ndo naona umehimu wa kuwa na kile kifaa alichopanda nacho Rage jukwaani kule Igunga.

hahahahhahhahah kwahiyo jamaa angekua na RAGE karibu angem DITOPILE the female dog....hahaha ccm kwaku mek hedlines za ki MASABURI hawajambo
 
Mi naona amepata alichostahili. Hamna haja ya ushauri hapo zaidi ya kuanza upya maisha. Nyambafu zake
 
alipokuwa anatambulisha hakuona hata aibu............bora aachane na hao maBF..........ajifunze kutokana na makosa
 
Mshauri amshukuru Mungu wake kwa kumkutanisha na wanaume waungwana. Vinginevyo sasa hivi angekuwa anauguza ngeo, manundu na miguu iliyoteguka MOI.
 
Asante mkuu umesomeka.
 
Mshauri amshukuru Mungu wake kwa kumkutanisha na wanaume waungwana. Vinginevyo sasa hivi angekuwa anauguza ngeo, manundu na miguu iliyoteguka MOI.
Nakweli na kwa uungwana wa wale jamaa mwenyewe hakuamini km katoka pale mzima na anamshukuru mungu kwa hilo.
 
alipokuwa anatambulisha hakuona hata aibu............bora aachane na hao maBF..........ajifunze kutokana na makosa
Kwa namna alivyokuwa amebanwa ilikuwa lzm atoe utambulisho kwa namna yoyote,asante kwa ushauri mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…