Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
- Thread starter
-
- #41
Pole punguza hasira hicho ni kitendea kazi chako usigombane nacho!bora umemjibu vizuri.....nilitaka kujibu hivi hivi ila in a more rude way...
Kuna wa2 sometimez wana2fanya 2take kugombana na ma keyboard ze2
Kwa namna alivyokuwa amebanwa ilikuwa lzm atoe utambulisho kwa namna yoyote,asante kwa ushauri mkuu.
Mwenyewe anaema akili isizi kiasi kwamba angeulizwa hata jina la baba yake asingeweza kukumbuka!so ctuation ilikuwa tite!Ningekua mimi ningejifanya kuanguka nakuzimia hapohapo kwanza ili nistoe jibu lol.
Asante kwa ushauri mdau.Kwa kuwa ni Boy Friends and not Nather Houses, afute uhusiano na wote hao maana hawatamwamini tena, na kuanza uhusiano mpya na mwingine. Lkini kaitk amaisha yake akumbuke "kosa si kutenda kosa, bali ni kurudia kosa".
Utamsaidia kurudi kwenye hali ya kawaida.Sasa ushauri wetu utasaidia nini wakati ameshaharibu?
Kwa sasa wala hajiskii kutafuta wa tatu,labda badae akili ikishatulia.Atafute wa tatu! Hao washaingia mitini..
Mwenyewe anaema akili isizi kiasi kwamba angeulizwa hata jina la baba yake asingeweza kukumbuka!so ctuation ilikuwa tite!
Japo ni ngumu kuusemea moyo wa mtu, ila kwa hali ilivyo cdhani kama atarudia tena!Cha msingi aachane na hizo kazi zake za udeiwaka, ili asizoee akaja olewa akashindwa kuvumilia, akawa anatoroka anaenda kupiga hizo anazoita kazi za nje.
Hata kama hawajamdai?Mwambie arudishe vyote alivyopewa na hao jamaa
Nimekosa cha kumshauri ndio maana nimekuja kuliza hapa, kama una ushauri toa kama hauna wasalimie!