kwanza nashangaa kwa nini hukumchapa makofi maana alichofanya ni ujinga na upumbavu .. mtafte umchape makofi na hafai kuwa hata rafiki
tatizo wanaume nao hawaeleweki mara kakuacha leo baada ya mwezi kakurudia fujo mtindo mmoja ndo maana wanawake hawajui wapi panafaa wanabaki wanarukaruka tu ....hapo hakuna cha mcharuko wala nini
nadhan huyo atakuwa amejifunza vya kutosha,na sidhani kama ataweza kurudia kufanya kitu cha design hiyo tena.....................
sasa hivi atulie tu then atambue kuwa alifany makosa na hatakiw kurudia tena awe mwangalifu maana next tyme wanaume wengine ni noooma ungeweza kutolewa shoo ya mbele yote.............
haa! Ningejifanya bubu!
Au ningeongea lugha isiyoeleweka kwa kufoka halafu nasimama nakimbia