Wa ukweli

madrid

Member
Joined
Nov 20, 2011
Posts
86
Reaction score
8
Natafuta msichana anayejua mapenzi haswa,asiyechoka haraka na mtundu wa mapenzi.Awe na body ya wastani,si mnene wala mwembamba.
 
Unataka akufundishe au? ebu weka picha yako tukuone kwanza kama na wewe unalipa au sibasi tuu.
 
Umelaaniwa. Unahitaji maombi.
 
heshima kitu cha dezo jamani. tukumbuke we r tanzanians kiasili hatuna tabia hizi za kuanika ya ndani. tuwe timamu jamani. khaaa!!!
 
Natafuta msichana anayejua mapenzi haswa,asiyechoka haraka na mtundu wa mapenzi.Awe na body ya wastani,si mnene wala mwembamba.
hawa ndo wale waliotanguliza miguu bdala ya kichwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…