Wa zamani bado ni wako?

Mbona hata maduu kibao 2 huwa wanazingua wanapokuta m2 kapoa na wake iwe pub lazima alete maneno ya khanga na vicheko kibao.
 


NN huyu jamaa ana hitilafu fulani kichwani kwake vinginevyo asingekuwa na mtazamo kama huu ambao wengi hatukabaliani nao.
 
Huyo ana inferiority complex tu!! Nadhani ni very poor performer na anaogopa udhaifu wake utajulikana
 

Inategemeana na mlivyoachana. Unajua kuna watu wanaachana lakini si kwa ridhaa yao. Utakuta mtu mnaachana kwa shinikizo, ninamaanisha nini? Mlikuwa mkipendana na malengo yenu ilikuwa kuishi wote mpaka kifo kiwatenganishe, sasa inatokea labda dini, mapenzi ya mbali, katika hili la mapenzi ya mbali, kaka anaweza kumpa mtu mwingine mimba ambaye hakuwa chaguo lake, au dada akajikuta tu kwenye mahusiano ambayo akutegemea kama yatafika mbali, kwa bahati mbaya akapata mimba, mkapotezana na siku ya kuja kukutana unakuta mwenzako tayari amesha oa/olewa, kwa kweli hapa huwa karoho kanauma sana tu.
 
Yeah - Wako ni wako tu! "demu" yoyote uliyewai kutokana naye ni "wako" milele!
 
wa zamani si wangu, tukiachana biashara imeishia hapo hakuna cha urafiki wala nini, tukikutana ni HI tu hakuna story nyingine
 
Safina;1884421]Inategemeana na mlivyoachana. Unajua kuna watu wanaachana lakini si kwa ridhaa yao. Utakuta mtu mnaachana kwa shinikizo, ninamaanisha nini? Mlikuwa mkipendana na malengo yenu ilikuwa kuishi wote mpaka kifo kiwatenganishe, sasa inatokea labda dini, mapenzi ya mbali, katika hili la mapenzi ya mbali, kaka anaweza kumpa mtu mwingine mimba ambaye hakuwa chaguo lake, au dada akajikuta tu kwenye mahusiano ambayo akutegemea kama yatafika mbali, kwa bahati mbaya akapata mimba, mkapotezana na siku ya kuja kukutana unakuta mwenzako tayari amesha oa/olewa, kwa kweli hapa huwa karoho kanauma sana tu.

Sasa utafanyaje zaidi tu ya kuacha tu maisha yaendelee. Kuumia hakusaidii, mpaka mtu akakupa ujauzito sasa huyo mtoto mtamleaje zaidi ya kuamua tu muishi maisha yasongo mbele. Utafikili safina unaniona vile, maana icident kama hii ilishawahi kunitokea. Mdada hamtaki aliyezaa naye anataka kurudi kwangu, nikwambia no... nina my wife wangu sasa nayempenda tueshimiane tu japo huwa hapendi kukubali hali yenyewe. Kazi kwelikweli kwenye haya mambo
 
NN kuna jamaa mmoja alikutana na EX wake sehemu ya starehe akaanza kum-question " Unatafuta nini hapa na umekuja na nani" watu ilibidi waanze kumshangaa kumbe jamaa wivu bado alikuwa nao demu akampiga jamaa bonge moja la swali akamuuliza "Hivi do you still love me why all these questions?" Jamaa akashikwa na kigugumizi cha kujibu
 
wa zamani atakuwaje wa kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…