Waacha kazi kwa kukosa mtandao wa simu za mkononi

Waacha kazi kwa kukosa mtandao wa simu za mkononi

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
Baadhi ya walimu wapya katika shule ya sekondari ya Amani Abeid Karume wilayani Kondoa,mkoani Dodoma wameacha kazi kutokana na kukosekana kwa mtandao wa simu za mkononi.

Akitoa taarifa ya shule hiyo kwa mkuu wa mkoa wa Dodoma,Dk.James Msekela;mkuu wa shule hiyo Juma Hinte alisema walimu walioacha kazi ni watatu.

Alisema walimu hao waliopangwa kufundisha shuleni hapo katika kata ya Bahi,waliacha kazi wakidai kuwa hakuna mawasiliano ya mtandao wa simu za mkononi na kwamba wanashindwa kuwasiliana na jamaa zao.
 
Back
Top Bottom