Waacha waambiane wasemezane mabaya juu yako, usikate tamaa. Ipo siku wataambiana wema wa Mungu juu yako

Waacha waambiane wasemezane mabaya juu yako, usikate tamaa. Ipo siku wataambiana wema wa Mungu juu yako

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Utakalofika wakati WA kuinuliwa wataambiana ati yule kahaba ana familia yake

Wataambiana kikaragosi ana nyumba na gari leoo hiii

Mwishooo wataambiana wema WA Mungu maishani mwako USIKATE YAMAA

Waweza kuona wanadamu wanatembea kimya kimya wameitunza mengi mioyoni mwayo

Usijeona wanakuchekea ujui wanaongea nn mioyo yao

Watasema yule pale ana hiv yule pale ana ugumba yule pale watoto wake wakko nyumban hawana adaaa

Achaa WAAMBIANE WASEMEZANE MABAYA JUU yakoo IPO siku watasema wema WA Mungu juu yakooo

Utasikia mengi USIKATE YAMAA IPO siku utamtukuza Mungu wakoo

God bless u
 
Maneno ya kujifariji tu dunia haina huruma kwa mtu mvivu na asipenda kujifunza na kubadili mda mwingne kufanya maamuzi magumu.
 
Back
Top Bottom