Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Ukahaba haumalizwi kwa kutumia nguvu bali kutengeneza mazingira wezeshi ya kila mtu kujipatia kipato halali kwa shughuli za kujikimu.
Mtu kauza uji umegoma
Kauza juice zimegoma
Kauza mama lishe imegoma
Kauza mbususu imetick anaanzaje kuacha kama mazingira ya biashara zingine zimegoma?
 
Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Kwanini serikali inaruhusu kujenga nyumbani za kulala wageni, swali fikirishi je kunasheria ipo inakataza matumizi ya viongo vyangu nikiwa nipo faragha yaani kuchimba ama kuchimbwa mgodi
 
Ukahaba haumalizwi kwa kutumia nguvu bali kutengeneza mazingira wezeshi ya kila mtu kujipatia kipato halali kwa shughuli za kujikimu.
Mtu kauza uji umegoma
Kauza juice zimegoma
Kauza mama lishe imegoma
Kauza mbususu imetick anaanzaje kuacha kama mazingira ya biashara zingine zimegoma?
Na wateja wapo kama loteeee, kwakifupi serikali Ndiyo inasababisha biashara nyingi zife inakuwa rafiki inapokaribia uchaguzi mkuu
 
Ukahaba haumalizwi kwa kutumia nguvu bali kutengeneza mazingira wezeshi ya kila mtu kujipatia kipato halali kwa shughuli za kujikimu.
Mtu kauza uji umegoma
Kauza juice zimegoma
Kauza mama lishe imegoma
Kauza mbususu imetick anaanzaje kuacha kama mazingira ya biashara zingine zimegoma?
Ukahaba sio matokeo ya ugumu wa maisha bali ni hitilafu kwenye mfumo wa fikra ya mtu
 
Toka enzi za Mzee Makamba tumeona hizi drama za kukamata madada poa bila mafanikio, wataondoka barabarani wiki 2 tatu tu then wanarudi mzigoni kwa kasi ya 5G.
 
Back
Top Bottom