Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Siku hizi viongozi wanavuta bangi za mchana usishangaeBaada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Kwanini serikali inaruhusu kujenga nyumbani za kulala wageni, swali fikirishi je kunasheria ipo inakataza matumizi ya viongo vyangu nikiwa nipo faragha yaani kuchimba ama kuchimbwa mgodiBaada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Na wateja wapo kama loteeee, kwakifupi serikali Ndiyo inasababisha biashara nyingi zife inakuwa rafiki inapokaribia uchaguzi mkuuUkahaba haumalizwi kwa kutumia nguvu bali kutengeneza mazingira wezeshi ya kila mtu kujipatia kipato halali kwa shughuli za kujikimu.
Mtu kauza uji umegoma
Kauza juice zimegoma
Kauza mama lishe imegoma
Kauza mbususu imetick anaanzaje kuacha kama mazingira ya biashara zingine zimegoma?
Naunga mkono hojaHuyo mkuu wa wilaya mjinga wamtoe, itakuwa hao madada poa wamemuibia yupo kulipiza kisasi.!!
🤣😁🤣Aikooo! Kwanini lakini starehe yako wenyewe wanaona ni tatizo😂😂😂😂 why why
Askari wamewakamata huku wanameza mate coz sio kwa mizigo hiyo!!!Baada ya kuwakamata na kuwashikilia ili wasifanye kazi ile ya haramu je mmeandaa mazingira gani wezeshi ..!?
Wilaya ina matatizo lukuki lakini kiongozi anaona tatizo sugu ni machangudoa.
Anasumbua wapiga kura wetu 🤣Naunga mkono hoja
Ukahaba sio matokeo ya ugumu wa maisha bali ni hitilafu kwenye mfumo wa fikra ya mtuUkahaba haumalizwi kwa kutumia nguvu bali kutengeneza mazingira wezeshi ya kila mtu kujipatia kipato halali kwa shughuli za kujikimu.
Mtu kauza uji umegoma
Kauza juice zimegoma
Kauza mama lishe imegoma
Kauza mbususu imetick anaanzaje kuacha kama mazingira ya biashara zingine zimegoma?