BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,568
- 1,923
Very true!Ukahaba haumalizwi kwa kutumia nguvu bali kutengeneza mazingira wezeshi ya kila mtu kujipatia kipato halali kwa shughuli za kujikimu.
Mtu kauza uji umegoma
Kauza juice zimegoma
Kauza mama lishe imegoma
Kauza mbususu imetick anaanzaje kuacha kama mazingira ya biashara zingine zimegoma?
Huduma zimeboreshwa kuna badoo, tinder, tagged n.kNimepita Riverside jana hakuna mali kabisa
We unatafuta ajira au unatafuta madem wa Riverside??Huduma zimeboreshwa kuna badoo, tinder, tagged n.k
Hapana ila tuangalia picha ilivyokuwa mfano umeamua ukachangamshe akili na mwili, si unatafuta wa kukuchangamsha na ili ukuchangamshe Akili na mwili lazima muende faragha ambayo ni huko guest wakifanya hadharani mtsema wehuNaona mheshimiwa kagusa masilahi ya wateja 😀😀😀
Hata USA na ulaya penye mifumo Bora ya maisha kwa watu wao still ukahaba tele.Serikali Ndiyo ya kulaumiwa kwakuto hakikisha jamii inaishi Kwa maadili mema yaani kwakutokuwa na mfumo Bora wa maisha ya wananchi wake Swali fikirishi, je serikali yetu imejipanga kuinua kipato cha mtu mmojammoja?
Namtafuta dada ako nimle ndogoWe unatafuta ajira au unatafuta madem wa Riverside??
Swali fikirishi kwanini watu hawako smart kichwaniHata USA na ulaya penye mifumo Bora ya maisha kwa watu wao still ukahaba tele.
Ukahaba ni tabia.
Ishu za lazy mind.
Ukahaba na uwezo mdogo wa kufikiri vinaendana.
Huwezi Kuta mwanamke Smart kichwani anavuliwa chupi hovyo
Anatafuta ufumbuzi wa kero yake badala ya za wananchiMitaa haina maji mwezi sasa viongozi wako bsy kusumbuana na machangu huo muda unge tumika kutatua kero za wananchi
Nshamla dadaako sahv nakutafuta ww nikurarue rinda hizo.Namtafuta dada ako nimle ndogo
Ni kweli kabisa hata ivyo mimi ni shabiki mkubwa sana wa biashara ya ukahaba ninachowapendea hawa wakina dada wapo direct na huduma unapewa hapo hapo muhimu mmekubaliana bei tofauti na hawa wadangaji wanaotaka kuhudumiwa alafu hawana output yoyote in-return, wanafikiri wajibu wao unaishia kwenye kufanya sex tu. Mtu umuhudumie, umpe hela bado akuletee jeuri, mapozi, akupangie ratiba ya kumtomba, hapo hapo akuletee harakati za 50/50 sasa kuepuka drama zote izo si bora ununue kahaba tuHapana ila tuangalia picha ilivyokuwa mfano umeamua ukachangamshe akili na mwili, si unatafuta wa kukuchangamsha na ili ukangamshe Akili na mwili lazima muende faragha ambayo ni huko guest wakifanya hadharani mtsema wehu
Inategemea wanafeed nini brain zao.Swali fikirishi kwanini watu hawako smart kichwani
Mara hoo nimeenda Jupiter ngoja nirudi we acha tu kwenye matumizi unakuwa father house lakini ukitaka dudu hapo utacheza mchinga na dayamondo saundo hadi eti akuhurimie yeyeNi kweli kabisa hata ivyo mimi ni shabiki mkubwa sana wa biashara ya ukahaba ninachowapendea hawa wakina dada wapo direct na huduma unapewa hapo hapo muhimu mmekubaliana bei tofauti na hawa wadangaji wanaotaka kuhudumiwa alafu hawana output yoyote in-return, wanafikiri wajibu wao unaishia kwenye kufanya sex tu. Mtu umuhudumie, umpe hela bado akuletee jeuri, mapozi, akupangie ratiba ya kumtomba, hapo hapo akuletee harakati za 50/50 sasa kuepuka drama zote izo si bora ununue kahaba tu
Siyo Hilo tu mtu hajishughulishi na chochote halafu ana njaa na majukumu ya kulea watoto kifuatacho ni................Inategemea wanafeed nini brain zao.
Sasa zuchu na diamond simba na yanga singeli vigodoro tathmlia unategemea uwe smart
Yaani Nina hamu ya kuzibua chemba ,(kuchangamsha akili na mwili),or call of nature,unichomoe kitandani? Kisa wewe ni mteule wa..............sishabikii ukahaba lakini kwakutumia njia ya udhalilishaji,kwenye vyumba vya kulala wageni hapo Ndiyo naliwekea zoezi Zima Alama ?, ya kiulizo binadamu ana akili sana atatafuta njia mbadala, mfano nime beba begi lilio Jaa nguo za kutosha na cheti cha ndoa.......nimemtafuta mke aliye nitoroka nilikompata anajiuza. Napo utanikamata?, Nchi hii Ina matatizo mengi Tena mengi ya hayo yanasababishwa na baadhi ya Hawa hawa tunao wapa dhamana Kwa kuahirisha kufikiri kwa nafsi,(a k.a kujizima data), kwasababu ya kujipendekeza ama uoga wa viongozi wao na kutumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na chanzo kikuu cha haya yote ni jamii zetu kunyamaza kuto kuhoji yaani tunaishi eti Bora liende matokeo yake Ndiyo haya, kujitoa ufahamu, (unyumbu),Kwa kinyakyusa tunaita human herding an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and fear of their leaders.Nashauri JF waweke subforum, tena iwe kwa " for verified/qualified members only". Kuuza na kununua iwe lengo kuu.
Sio mdau wa kununua ila huwezi kudhibiti uhuru wa watu wanafanya yao faragha.