Waacheni dada poa msiwasumbue wilaya yenu ina matatizo mengi ya kupambana nayo kuliko kusumbuka na hamu za watu

Wawanyanganye na contacts kama wanaweza laleq..
 
Ndiyo hivyo baby, mtu anashindwa kushughulikia huduma za jamii anashughulishwa na jinsi tunavyotiana, kama anaona hamu aje na yeye tumpige paipu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mafisadi yanakula tu rushwa imekuwa kitu cha kawaida halafu wanahangaika na petty business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…