Thelonious
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 218
- 452
Ukiingia tu JF kwa wale wapenzi wa jukwaa pendwa MMU hata urefresh vipi utakutana juu na nyuzi za kuwakandia ama za kuwasema hawa watani wetu.
Mnawaminya na kuwatesa bila kujua mtu anatafuta kauzi ka kujituliza apunguze japo stress za kazini anakosa. Tusiwafanyie hivi mazee. Mnataka hadi waombe poo au? Wanawake wanapenda kubembelezwa.. na kuliwazwa. Nyuzi kama
" Im sorry baby nakupenda", "baby I'll buy you hyundai" au "Nawapenda wanawake wa JF" ndizo zao.
Kwa kasi hii tutabaki wenyewe humu sasa naona mafuriko na Whassap migration muda sio mrefu.
Mruhusu mkeo awe muimba kwaya kanisani,lakini...........
Kama umeolewa,changanya na zako ukiwa humu jf
Ni nini sababu ya ongezeko la 'single mothers' nyakati hizi?
.