Oohhhh usisome ,,usome ,,hayo maandishi nimeyaandika na hayatobadilika .
Kujarabu kuelezea Dhamira yako kwa ngao ya Chit-chat hapa nooooooo.
Unless ungeanzisha Uzi wako safiiiii BILA KUAMBATANISHA UZI WAMTU NAKUZTIMIA KM MFANO ..
Ulchokkfanya sio chit-chat BALI NI UCHONGANISHI ..UNANICHONGANISHA NA WANAWAKE WA HUMU.
sema nn ,,, mwenyewe hainisumbui wala nn maana ndivo nilivo toka uko awali na wananijua iviivi .
ila siku ingine andika pasipp kufanya km iki ulichokifanya ..... Kua Humble man wakat someone is trying to paint me as a devil nikitu ambacho huwa nahaitokuja kukifumbua macho .